RAHA YA KUISHI NA YESU KATIKA MAISHA
Ndugu yangu rafiki angu nataka nikushauri kitu katika hujumbe huu maisha tunayo ishi sisi nimaisha ambayo nikama fumbo katika film na mtazamaji ni Yesu mwenyewe hatuna ujanja wowote ule juu ya pumzii tuliyo nayo nikweli wew unaishi salama lakini ukitaka kujua hunaujanja wowote juu ya afya uliyo nayo nenda leo mahospitalini kunawatu wanapata shida wanatamani wangepata hata sekunde ya uzima ulio nao ili wapige goti mbele za Mungu lakin wew ndugu yangu uliye mzima umeshindwa hata kutenga mda japo dakika chache mbele za Mungu ili umshukuru tu urudishe sifa na utukufu kwa sababu bado anakupigania juu ya uzima wako nakushauri kijana mwenzangu chukuwa hatua ya kubadilisha maisha yako umwamini Yesu kuwa mokosi wa maisha yako na Mungu atazidi kutenda mema kila siku katika maisha yako ninaimani ujumbe huu umenielewa na utachua hatua na Mungu wa mbinguni akubariki Amen
Comments
Post a Comment